Wednesday, June 2, 2010

AY ASHINDA TUZO ZA MUSEKE-EAST AFRICA SONG OF THE YEAR (LEO)


M happy:Nimeshinda Awards za Museke:East African Song of the Year (LEO)..
mafans wangu nawashukuru sana coz mnafanya mambo kwa vitendo na matokeo yanaonekana..tonight nitaparty na watu wangu wa Kampala.
Muuuuuuch RESPECT Brothers N' Sistaz

Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.