Monday, June 28, 2010

FIESTA KUITIKISA MOROGORO 7JULY 2010

Kala Pina -Kikosi cha Mizinga , CHEGE MH TEMBA HUSEIN MACHOZI GODZILA MADEE NA WENGINE KIBAO WATATAKUWAPO SIO YA KUKOSA SIKU YA 77 PALE MOROGORO Wadau Msimu wa tamasha la Fiesta 2010 linakaribia kuanza,na kama ujuavyo tamasha hilo husheheni mambo kibao kwa wapenzi/washabiki wao.safari hii kwa mara ya kwanza tena linagonga hodi ndani ya mji kasoro bahari,Morogoro.Wakazi wa Morogoro Fiesta hiyo 2010 inawajia mkoani mwenu ikiwa na kauli mbiu yake JIPANGUSE Rrrrrrrhhhhhhaaaaa..! Huku Mdhamini mkuu wa tamasha hio ambalo hufanyika mara moja kwa mwaka ni kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Ltd. Orodha ya wasaniii utakao Jipanguse nao ndio kama hao hapo juu,si hao tu na kuna wegineo kadhaa wa kadhaa akiwemo Mwana Fa,Amini na Linah kutoka THT.Kutakuwepo na michezo mbalimbali,Fiesta Jipanguse rrrhhhhhaaaaa 2010 itafanyika ndani ya uwanja wa Jamhuri,July 7 kwa kiingilio cha sh 2000 kwa kila mmoja.Kama vile haitoshi July 9 tamasaha hilo litahamia mjini Arusha na kufanyika ndani ya Matongee


MZEE WA DANGER-THE SWAGA DON-FID Q

JUMA NATURE

MZEE WA MBAGALA -DIAMOND

OFFSIDE TRICK WAZEE WA SAMAKI NA BATA

KALA PINA FROM KIKOSI CHAMIZINGA

BARNABA FROM THT
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.