Mb Dogg amesafiri Juzi tar 25/6 asubuh saa 2 kuelekea uingereza kwa ajili ya show ambazo zitachukua takriban 3 weeks.akiwa huko atapafom ktk mij tofaut ukiwepo milton keynes,bss onx bristol,pia birmingham.pia hakuwaacha bure wabongo amewaachia track yake ambayo iko ktk albam yake ya pili ya akili yangu track inaitwa kilio changu.kwasasa mbdog yuko ktka hatua za kumalizia albam yake ya tatu na soon atatambulisha singo yake mpya ambayo amemaliza kurekodi usiku wa kuamkia tar 25.mbdogg anaashukuru mashabik wake wote wanaomsapot ktk game pamoja.


MB DOGO SAFARINI UINGEREZA-AACHIA SINGLE MPYA
No comments:
Post a Comment