Saturday, June 19, 2010

MIX TAPE YA ANTIVIRUS MTAANI-JAMANI WAPI TUNAKWENDA


Fans ule mzigo ambao ni project ya mtu mzima SUGU na washkaji wengine kibao "Untivirus" tayari uko kitaa chako kama ulikuwa huna habari sasa mimi nakuhabarisha,ile sehemu ya kwanza ya mzigo tayari iko pande hizo ulipo na kama ukiutafuta naamini utaupata,mzigo unapatika bure kabisa bila gharama yoyote na kwa wale wanaouhitaji na hawako Bongo hii basi ingia http://www.ujazo.blogspot.com/ ili upate nafasi ya ku-download na kuusikiliza,ni project endelevu na tutegemee Vol II soon kwani washkaji kama wako studio hivi wakiendeleza kile wanachokiamini,tusapoti fans.....>
Share/Save/Bookmark

No comments:

Post a Comment

 

.