Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nakaaya Sumari akiwatumbuiza watoto wakati wa sikukuu ya mtoto wa afrika katika uwanja wa kumbukumbu za Shiekh Amri Abeid jijini Arusha. Sikukuu hii ni maalumu kwa ajili ya kumbukumbu ya watoto wa kiafrika waliouwawa nchini Sauzi katika kitongoji cha Soweto wakiwa wanapigania haki zao.

No comments:
Post a Comment