
Tarehe 13 august siku ya birthday yake mtu mzima fareed kubanda aka Fid Q amekwea pipa kuelekea nchini marekani kwa masomo ya mda mfupi (mwezi na nusu) ambapo atakuwa akisomea ujasiria mali fid amesema akiwa nchini humu atatembelea states zote akiwa kama balozi wa malaria na atahakikisha safari yake ni ya manufaa kwake na kwa watanzania wengine pale atakaporejea.GOD BLESS YOU BRO

No comments:
Post a Comment